Mtandao wa AMEA kushirikiana na ANSAF umefanya mkutano wa kwanza uliowakutanisha wadau wa sekta ya kilimo kutoka mashirika na taasisi mbalimbali za umma na binafsi kujadili namna bora ya kuwa na miongozo ya kuwezesha vijana katika kushiriki katika shughuli za uzalishaji kwenye sekta ya kilimo.