ANSAF Tanzania pamoja na wadau wengine wa kisekta katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu imeshiriki katika kusherekea miaka 10 ya UNA-TSDP kuhamasisha ukelezaji wa maendeleo hayo chini ya Umoja wa mataifa. 


ANSAF ni moja ya wadau na washirika wa jukwaa la UNA – Tanzania Sustainable Development Platform ambapo kupitia Lengo no.2 la Usalama wa Chakula na Lishe, ANSAF inaratibu vikundi mbalimbali vya wakulima katika kuwajengea uwezo wa kufanya uzalishaji wenye tija.


Mkutano huo wa wadau umefanyika Oktoba Mosi, 2025 katika makao makuu ya Umoja wa mataifa Tanzania jijini Dar es salaam.

About Us

We are passionate about agricultural development. Through our unwavering commitment, we empower smallholder producers, fostering sustainable practices, and driving positive change in farming communities.